ZA UKWELI SANA

TAZAMA HILI KANISA LILILOJENGWA KWA MFANO WA KIATU CHA MWANAMKE*HIGH HEELS* HUKO TAIWAN

Hili ni kanisa ambalo,limetengenezwa spesho kwa ajili ya kuwavutia wanawake,lipo huko nchini Taiwani kiongozi wa kanisa hilo amesema kuwa kanisa hilo halitatumika kwa ibada za kawaida bali litatumika kwa shughuli za harusi zaidi.

0 Response to "TAZAMA HILI KANISA LILILOJENGWA KWA MFANO WA KIATU CHA MWANAMKE*HIGH HEELS* HUKO TAIWAN"

Chapisha Maoni