ZA UKWELI SANA

AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ALIVYO JE UNAONA NINI??

Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo kwa maana, kama unaona wewe ni masikini na utakuwa maslikini mpaka kufa basi itakuwa hivyo,kama unaona wewe ni mshindi basi utakuwa mshindi tu,hayo ni maneno ya kiimani tu lakini yana athari sana katika maisha yetu halisi, hii inatufundisha mara nyingi tunapofanya mambo yetu tujiweke katika upande wa ushindi japo tunajua upande wa kushindwa pia upo,kila jambo lolote lenye mafanikio msingi wake ni rohoni,kama leo tunaona magari,ndege,meli na vinginevyo chanzo ni watu waliowaza kuviunda hivyo wakaweka nia rohoni hatimae walifanikiwa na leo tunayaona mafanikio ya kimwili,hata nchi kama Marekani kuwa pale ilipo ni mawazo ya mtu...hivyo tujipe moyo tujiwazie mema na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo bila kukata tamaa maana mbeba maono hafi mpaka yatimie(bahati bukuku)

0 Response to "AONAVYO MTU NAFSINI MWAKE NDIVYO ALIVYO JE UNAONA NINI??"

Chapisha Maoni