ZA UKWELI SANA

AKON ASEMA HAJUTII KUACHA KUMSAINI DRAKE

Mwanamuziki Akon,wa nchini marekani juzi alipokuwa akihojiwa na kituo kimoja nchini humo aliulizwa swali kwamba je;hajutii kuacha kutomsaini Drake katika lebel yake ya convict music kwani kwa sasa ni moja ya wasanii wanaofanya vizuri sana,akon alijibu hilo sijutii kabisa kwani kwa kipindi hicho cha mwaka 2005 alipokuja katika lebel yake alikuwa hafanyi vizuri kama sasa,ndio maana aliamua kumchukua lady gaga na tpain,'sijutii kabisa kwani huko alipokwenda ndio alichagua sehemu sahihi,baada ya kusainiwa na young money'alisema akon.

0 Response to "AKON ASEMA HAJUTII KUACHA KUMSAINI DRAKE"

Chapisha Maoni