ZA UKWELI SANA

WIZ KHALIFA ALIFUNDISHWA NA MAMA YAKE KUVUTA BANGI



Wiz khalifa ni rapper ambaye ni mzazi mwenzake na mwanamitindo
amber rose,wote ni mastaa wakubwa duniani,kuna majimbo marekani wameruhusu Bangi kuwa kilevi halali kabisa lakini kwengine ni marufuku.
     mwanamuziki wiz khalifa anaonekana kuvuta bangi kila sehemu hata katika video zake za muziki,wiz amesema amefundishwa kuvuta bangi na mama yake mzazi,mama mzazi wa msanii huyo katie pachie wambush polk amesema ...wiz alikuwa akisikia harufu na vicheko chumbani nikiwa navuta na rafiki zangu,alikuwa anadhani ni kitu kizuri nikawa ninavuta nae kabla hajakwenda shule na mimi sijakwenda kazini....alibainisha mama huyo.

  wiz khalifa anatumia dolla 10,000 sawa na Tanzania sh million 21 kwa mwezi kwa ajili tu ya bangi na amesema hawezi kuwa na furaha kabisa bila kutumia kilevi hicho.
wizkhalifa akiwa na mama yake mzazi na mtoto wake pichani.

0 Response to "WIZ KHALIFA ALIFUNDISHWA NA MAMA YAKE KUVUTA BANGI"

Chapisha Maoni