ZA UKWELI SANA

NANI ZAIDI KATI YA RAPPER 50 CENT NA MEEK MEEL!


marapa wawili kutoka katika kiwanda cha hiphop,meek mill na rapa 50 cent wameingia katika beef rasmi baada ya kuonekana kutupiana madongo na kuandikiana distracks relix kwenye akaunt zao za insta,ikumbukwe pia meek anafanya mpango wa kuingiza albam yake sokoni,huo unaweza ukawa mpango wa kumuingizia mkwanja zaidi rappa huyo.

0 Response to "NANI ZAIDI KATI YA RAPPER 50 CENT NA MEEK MEEL!"

Chapisha Maoni