ZA UKWELI SANA

MWANAMKE MMOJA AKUTWA KWENYE PAA LA JENGO LA WIZARA YA FEDHA

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa haraka,ameonekana kupanda juu la paa la wizara ya fedha,vyanzo vyetu vilipotaka kujuwa kulikoni vilishindwa kupata maelezo ya mama huyo vizuri kutokana na watu waliokuwa wakimzonga zonga mama huyo.

0 Response to "MWANAMKE MMOJA AKUTWA KWENYE PAA LA JENGO LA WIZARA YA FEDHA"

Chapisha Maoni