ZA UKWELI SANA

KUMENUKA HUKO INSTAGRAM WEMA ZARRY,NA TEAM ZAO WACHAFUA HALI YA HEWA!

Katika hali isiyokuwa ya kawaida zarry the boss lady na wema sepetu wamerushiana maneno ya juu,kwa juu huku wakipigana vijembe na kupeana madongo kupitia akaunti zao,hali hiyo ilisababishwa na chokochoko za team zao yaani team  zarry na team wema.

0 Response to "KUMENUKA HUKO INSTAGRAM WEMA ZARRY,NA TEAM ZAO WACHAFUA HALI YA HEWA!"

Chapisha Maoni