ZA UKWELI SANA

MADEE AAMUA KUJA NA BIASHARA YA MAGARI

Mwanamuziki Hamadi ally a.k.a madee ameamua kuja na biashara tofauti kidogo baada ya kuamua kuanzisha kampuni ya uuzaji wa magari hapa nchini,madee  amesema yupo mbioni kuanzisha kampuni hiyo mapema mwaka huu baada ya kuona ni nzuri vilevile ina maslahi kwa upande wake.

0 Response to "MADEE AAMUA KUJA NA BIASHARA YA MAGARI"

Chapisha Maoni