ZA UKWELI SANA

DAVIDO ASAINI DILI NA KAMPUNI KUBWA YA MUZIKI DUNIANI SONY ENTERNMENT

Msanii wa muziki kutoka nchini nigeria Davido ameingia kwenye headlines duniani baada ya kuingia mkataba na kampuni kubwa ya muziki duniani ijulikanayo kama sony music enterternment,tukio hilo kibongo bongo huwenda likazima ndoto za wasanii wengi wa kibongo waliotaka kufanya naye collabo ikiwa ni pamoja na allykiba na johmakin kollabo hizo ambazo alizitaja yeye mwenyewe davido,davido ndiye msanii wa kwanza afrika kuingia mkataba na kampuni hiyo.

0 Response to "DAVIDO ASAINI DILI NA KAMPUNI KUBWA YA MUZIKI DUNIANI SONY ENTERNMENT"

Chapisha Maoni