ZA UKWELI SANA

UTAJIRI WA PSQUARE NI KUFURU

wanamuziki mapacha wanaijeria peter na paulo okoye,leo  kupitia mtandao wao wa facebook wameshea mjengo huo hapo pichani na magari yao na kisha kuandika ''kuonyesha mali unazomiliki na baraka alizokupatia mungu sio vibaya kwani hata kanisani tunatoa ushuhuda kwa yale mungu aliyotufanyia'' waliandika hivyo psquare.

0 Response to "UTAJIRI WA PSQUARE NI KUFURU"

Chapisha Maoni