ZA UKWELI SANA

NYOSO AMTIBUA DIAMOND PLATNUMZ

Kufuatia tukio la utovu wa nidhamu na la kiudhalilishaji lililofanywa na mchezaji wa mbeya city juma nyoso,kwenye mechi kati ya mbeya city na azam fc,mwanamuziki diamondplatnamz ameonekana kukerwa na kitendo cha kiungo huyo wa mbeya city, kwa kuandika kupitia mtandao wake wa instagram ''wachezaji kama hawa ndio wanarudisha soka letu nyuma,badala ya kupiga mpira yeye anawaza kumtia dole mwenzake ili apaniki atolewe uwanjani sasa kwa mtindo kama huu tutafika kombe la dunia kweli?'' aliandika hivyo platnumz,mchezaji juma nyoso sio mara ya kwanza kuwafanyia udhalilishaji wachezaji wenzake kwani hivi karibuni alimfanyia mchezaji mwenzake aitwaye Elias maguli kitendo kama hicho,TFF wakiri kumpatia adhabu ya kumfungia miaka miwili bila kucheza na faini ya shilingi milioni 2

0 Response to "NYOSO AMTIBUA DIAMOND PLATNUMZ"

Chapisha Maoni