ZA UKWELI SANA

HONGERA SALAMA JABIRI WA MKASI TV.

Mwanadada machachari na mtangazaji maarufu bongo,ambaye amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki wa bongo fleva,haswa kwa kutokuogopa na kujiamini sana kwenye kukosoa na kurekebisha hata kusifia pale ilipohitajika kwenye kazi ya msanii,suala lililomfanya Madam Rita  mkurugenzi wa kampuni ya BENCHMARK na chief jaji wa BSS kumpatia kazi ya kuwa jaji kwenye shindano la bongo star serch na pia dada huyu anatangaza kwenye moja ya show kubwa kwenye tv kwa hivi sasa inayofahamika kama mkasi inayokwenda hewani kila jumatatu saa tatu na nusu usiku na kituo cha EATV  mwanadada huyu machachari mwenye majina mengi ya utani haswa kutokana na muonekano wake amekuwa na majina ya utani kama kistuli,cheupe dawa,aunt zush na mengineyo leo ametimiza miaka kadhaa kwa maana ya kwamba anasheherekea siku yake ya kuzaliwa,mastaa kibao wamepost picha za salama wakimpongeza kwa siku yake hiyo,nasi jicholakitaa Media tunampa pongezi salama jabir tunasubiri ndoa yake tu.

0 Response to "HONGERA SALAMA JABIRI WA MKASI TV."

Chapisha Maoni