ZA UKWELI SANA

TIMU YA TAIFA YA ENGLAND OYA OYAA

Timu ya taifa ya england imemaliza mechi yake ya mwisho ya hatua ya kufuzu michuano ya kombe la euro 2016 kwa kuingia katika rekodi ya timu zilizomaliza hatua hiyo kwa mafanikio zaidi.England ilipata ushindi huo kupitia wachezaji ross barkley dakika 29,harykane alifunga la pili huku Alex oxlade chamberlain akipigilia msumari wa mwisho na kufanya uingereza kupata ushindi dhidi ya lithuawa.kwa sasa timu zitajiandaa kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika nchini ufaransa,juni 2016,England inakuwa timu ya sita kuweza kuweka rekodi hiyo ya kushinda mechi zote za hatua ya kufuzu kwenda euro wakiwa wanaweka kibindoni pointi 30

0 Response to "TIMU YA TAIFA YA ENGLAND OYA OYAA"

Chapisha Maoni