ZA UKWELI SANA

BALOZI JUMA MWAPACHU AJITOA CCM

Tamko la balozi mwapachu ambalo tumethibitisha kutoka kwake zinaelezea kuwa kuanzia leo kada huyu wa CCM hatakuwa tena mwanachama wa chama hicho tawala na kuongezea kuwa bado hajaamua kujiunga na chama kingine,ikumbukwe balozi mwapachu amekuwa ccm kwa zaidi ya miaka 48

0 Response to "BALOZI JUMA MWAPACHU AJITOA CCM"

Chapisha Maoni