ZA UKWELI SANA

SHILOLE KUACHIA MKWAJU WAKE NA YEMIALADE

Mwanamuziki wa miondoko ya mduara na bongofleva hapa nchini shilole a.k.a shishi baby amesema yupo mbioni kufanya collabo na yemialade wa nigeria,'unajua yemi ana mambo mengi sana lakini nataka kufanya naye kazi uongozi wangu unafanya mazungumzo naye na niko mbioni kufanya naye kazi'alisema shilole.
 source bongo5

0 Response to "SHILOLE KUACHIA MKWAJU WAKE NA YEMIALADE"

Chapisha Maoni