ZA UKWELI SANA

AY AWAAMBIA WASANII WAACHE UWOGA

Msanii wa miondoko ya hiphop hapa nchini na commercial amesema wasanii waache kuogopa kuuliza kwa watu waliotangulia au wanaojua muziki ni mbinu gani wanatumia kuupeleka mziki mbele 'unakuta mtu anaogopa kuuliza,au anajifanya anajua kuliko waliomtangulia waache uwoga waaulize kwa sababu muziki siku hizi ni biashara' amesema ay.

0 Response to "AY AWAAMBIA WASANII WAACHE UWOGA"

Chapisha Maoni