ZA UKWELI SANA

HAWA NDIO MARAFIKI WAKUBWA WA IDRISSA SULTANI WA BBA

Mshindi wa big brother africa mwaka 2014/5 idrissa sultani jana amehojiwa kwenye kipindi cha mkasi kinachorushwa na EATV na mtangazaji salama jabir,idrissa aliulizwa ukaribu wake na mastaa hapa nchini kama wema sepetu,ommy dimpoz na diamondplatnamz alisema yeye anawahitaji sana hao watu katika maisha yake,kwani ni watu waliofanikiwa sana kwahiyo anahitaji kujifunza kwao 'unajua hawa watu mimi nawahitaji sana kwasababu kuna mambo najifunza kupitia kwao lakini mimi sijui kama wao wananihitaji kama mimi ninavyowahitaji'alisema iddrissa,pia amezungumzia kuhusu yeye kuwasapoti sana wasanii wenzake kupitia social netwok na kusema yeye anafanya hivyo kwani na wao walimsapoti sana alipokuwa kwenye BBA japo kuwa walikuwa hawamjui'mimi namsapoti msanii yeyote mwenye kazi zake bila kujali yeye alinisapoti au la hilo halijalishi'alisema iddrisa.
 kwa hivi sasa iddrisa amesema anajikita zaidi kwenye mambo ya komedi,na anaandaa show yake itakayoonyeshwa BET.

0 Response to "HAWA NDIO MARAFIKI WAKUBWA WA IDRISSA SULTANI WA BBA"

Chapisha Maoni