ZA UKWELI SANA

RAPPER CHEMICAL AACHIA MKWAJU MPYA

mwanadada chemical ambaye ni moja ya marapper chipukizi wanaofanya vizuri kwa sasa baada ya kutamba na kibao chake kinachokwenda kwa jina la sielewi alichomshirikisha suprano,mara hii amedondoka na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la v.i.p

0 Response to "RAPPER CHEMICAL AACHIA MKWAJU MPYA"

Chapisha Maoni