ZA UKWELI SANA

MSANII WA ORIGINAL KOMEDI AFUNGA NDOA

tazama picha zaidi hapo chini
msanii wa kundi la original komedi hapa nchini na producer wa kipindi cha original komedi kinachorushwa na tbc kila jumapili sekioni david ameuaga ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi,harusi yake ilihudhuriwa na wasanii wa kundi hilo pamoja na ndugu na jamaa wakaribu tu.

0 Response to "MSANII WA ORIGINAL KOMEDI AFUNGA NDOA"

Chapisha Maoni