ZA UKWELI SANA

FRANK WA BONGO MUVI AFANYA KAMPENI KWENYE MADALADALA

msanii wa bongo muvi nchini mohamedi mwikongi wengi wamezoea kumwita frank,ambaye anagombea ubunge wa jimbo la segerea kupitia chama cha act wazalendo,amenaswa na ripota wetu akifanya ziara na kampeni kwenye madaladala ili kujinadi na kukinadi chama chake,frank alipoulizwa na ripota wetu kulikoni alisema alifanya hivyo kwani ameona ni njia rahisi ya kuwafikia wananchi kwa haraka sana na kuzitambua kero zao,frank alipoulizwa kwamba kama huwa anapanda daladala au ni uchaguzi huu tu alijibu 'mimi nina gari lakini wakati mwingine huwa naacha gari yangu nyumbani ili nikutane na watu mbalimbali'alijibu frank

0 Response to "FRANK WA BONGO MUVI AFANYA KAMPENI KWENYE MADALADALA"

Chapisha Maoni