ZA UKWELI SANA

DIAMOND PLATNAMZ ASHINDA TUZO NYINGINE MAREKANI

Diamond platnam au baba tiffa ameshinda tena tuzo nyingine baada ya juzi kushinda tuzo tatu huko nchini africa ya kusini,diamond ameshinda tuzo ya msanii anayependwa zaidi barani africa,tuzo hiyo inafahamika kwa jina la african nafca,na wimbo ulioshinda ni nana,diamond aliandika kupitia mtandao wake wa instagram kuwajulisha mashabiki wake kwa ushindi huo na amesema atarudi bongo alhamisi akiwa na tuzo zake zote.

0 Response to "DIAMOND PLATNAMZ ASHINDA TUZO NYINGINE MAREKANI"

Chapisha Maoni