ZA UKWELI SANA

HII NDIO TUZO YA VANESSA MDEE

hii ni mara ya kwanza kwa msanii vanesa mdee,kushinda tuzo ya kimataifa,vanesa ameshinda tuzo ya Afrimma yeye pamoja na diamond platnamz hii ni heshima kwa vanesa mdee,heshima kwa wanawake na pia taifa la Tanzania kwa ujumla,hongera sana vanesa.

0 Response to "HII NDIO TUZO YA VANESSA MDEE"

Chapisha Maoni