ZA UKWELI SANA

WIZKHALIFA AKAMATWA AKIJISAIDIA HADHARANI

mwanamuziki wizkhalifa au jina lake halisi ni cameron  jibr Thomaz jana mishale ya saa nne usiku alikamatwa na askari waliokuwa doria baada ya kujisaidia haja ndogo hadharani,wiz alitoka kutumbuiza katika tamasha la midnight madness,ambapo katika tamasha hilo mwanamuziki lilywyne pia alikuwepo,tukio la kukamatwa kwa wiz limetokea huko pittsburg nchini marekani.

0 Response to "WIZKHALIFA AKAMATWA AKIJISAIDIA HADHARANI"

Chapisha Maoni