ZA UKWELI SANA

HONGERA DIAMOND PLATNAMZ KWA KUTULETEA HESHIMA NYUMBANI

hongera diamond platnamz kwa kupeperusha bendera vyema kimataifa na kutuletea tuzo tatu nyumbani huu sio ushindi wako tu bali ni ushindi wa taifa zima,alipangalo mungu mwanadamu hawezi pangua japo wengi walikupiga vita,wengine bila sababu walikuchukia tu kwa sababu waliwapandikizwa chuki bila sababu na maadui zako,lakini mungu alikusimamia japo shetani alileta vikwazo sana hongera pia kwako vanesa mdee kwa kutuwakilisha vizuri pigeni kazi vijana,wabongo tuache michongo ya roho mbaya.

0 Response to "HONGERA DIAMOND PLATNAMZ KWA KUTULETEA HESHIMA NYUMBANI"

Chapisha Maoni