ZA UKWELI SANA

LEMUTUZ NATION KUJA NA TV SHOW

the king of all social media bongo maarufu kama lemutuz nation,amesema anatarajia kuanzisha tv show yake mwenyewe hivi karibuni lemutuz alibainisha hayo kupitia mtandao wake wa blogu ya wananchi,lemutuz alipost taarifa hiyo huku akiambatanisha na namba yake ya wasap,akisema kwa mtu yeyote anayetaka awasiliane naye ili awe audience atakayeshiriki katika kipindi hicho,huku amesema anatarajia kuingia chimbo karibuni kurekodi tv show hiyo alibainisha lemutuz.

0 Response to "LEMUTUZ NATION KUJA NA TV SHOW"

Chapisha Maoni