ZA UKWELI SANA

MBUNGE DEO FILLKUNJOMBE NA BABA YAKE MZAZI JERRY SLAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA

Kumekuwa na mvutano wa taarifa zinazoripotiwa kuhusu ajali ya helcopter iliyotokea jioni ya october 15,2015 katika hifadhi ya wanyama ya selous pembeni ya mto ruaha,ambapo ajali hiyo iliripotiwa na professional hunter,muindaji mtaalamu ambaye alikuwa mbugani na hema lake muindaji huyo anasema alisikia kishindo na moshi mweusi ukitoka juu,kwa sababu alikuwa porini mawasiliano yalikuwa ya shida kidogo na hivyo mpaka leo asubuhi ndipo alipoweza kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama,pia jerry slaa meya amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo,ambapo ameandika kupitia mtandao wake wa instagram kwamba 'anasikitika kumpoteza rafiki yake mbunge Deo fullkunjombe,na baba yake captain william slaa ambaye alikuwa rubani wa ndege hiyo aliandika jerry slaa'' MUNGU AZILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO ZA MAREHEMU.



0 Response to "MBUNGE DEO FILLKUNJOMBE NA BABA YAKE MZAZI JERRY SLAA WAFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA"

Chapisha Maoni