ZA UKWELI SANA

KAMA POMBE MAGUFULI NI MZIMA LOLIONDO ALIFUATA NINI

kumezuka mijadala kwenye mitandao ya kijamii na kampeni kwamba mgombea wa uraisi kupitia chadema kwamba ni mgonjwa,leo nimewakumbusha kidogo kwamba jamani hujafa hujaumbika na hakuna aliyemzima asilimia mia moja huyo ni magufuli akipata kikombe kidogo kwa babu wa loliondo.

0 Response to "KAMA POMBE MAGUFULI NI MZIMA LOLIONDO ALIFUATA NINI"

Chapisha Maoni