ZA UKWELI SANA

NAHREEL KUFUNGUA CHUO CHA MUZIKI


Mtayarishaji wa muziki nchini na mwanamuziki kutoka katika kundi la NAVY KENZO,Nahreel amesema anatarajia kufungua chuo cha muziki,miongoni mwa list ya walimu watakaofundisha ni NICK WA PILLI,na HAIKA,ametoa sababu ya kuweka watu wake wa karibu ni kwamba wanaweza kufanya kitu kwa urahisi kama familia,amesema ametoka na weusi mbali na wanasapotiana katika mambo mbalimbali.

0 Response to "NAHREEL KUFUNGUA CHUO CHA MUZIKI"

Chapisha Maoni