ZA UKWELI SANA

JAMBO SQUARD WAANZISHA MGAHAWA.


wanamuziki wa kundi la jambo squard kutoka jijini arusha walioripotiwa hivi karibuni kwenye radio fulani wakisema hawana mpango na kuhamia jijini dar kwani hata arusha wanaweza kufanya kazi zao,mara hii wanakuja na mpango mwengine wa kuwaongezea kipato zaidi baada ya kuamua kufungua mgahawa jijini humo unaokwenda kwa jina la jambo squard cafe,akizungumza na kituo cha clouds fm mmoja wa wa wasanii kutoka kundi hilo,amesema mgahawa huo umegharimu pesa nyingi sana japo amekataa kutaja ni kiasi gani.......alibainisha zaidi,jambo squard wanatamba sana na nyimbo kama mamongoo; na nyinginezo.

0 Response to "JAMBO SQUARD WAANZISHA MGAHAWA."

Chapisha Maoni