![]() |
ROBERTO AMARULAH. |
MWIMBAJI WA AMARULAH KUFANYA SHOW TANZANIA.
Mwimbaji wa wimbo unaotamba hapa africa kwenye chati mbalimbali za radio na tv stations,anayefahamika kwa jina la Roberto wa nchini zambia anatarajiwa kutua nchini mapema october kwa ajili ya kufanya show,aliandika mwenyewe kupitia mtandao wake wa instagram, kwa ajili ya show hiyo.
Posted by Unknown
on Jumatatu, 14 Septemba 2015,
Add Comment
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 Response to "MWIMBAJI WA AMARULAH KUFANYA SHOW TANZANIA."
Chapisha Maoni