ZA UKWELI SANA

BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA TB JOSHUA AANDIKA HAYA.

TB JOSHUA.

Ni mwaka mmoja sasa umepita tangu kanisa la synagogue church of ALL NATIONS,linalomilikiwa na mtumishi wa mungu tb joshua,kuanguka moja ya majengo yake na kuuwa watu wengi zaidi,leo ni mwaka mmoja sasa umepita tangu tukio hilo litokee,tb joshua aliandika haya kupitia mitandao yake ya kijamii.
   ni lazima tukubali katika maisha mambo mengi yanayotokea huwa ni mapenzi ya mungu,na lazima tukubali kuwa yaliyotokea mwaka jana ni mungu alipenda yatokee haya,na tuendelee kumshukuru mungu. 
aliandika hayo mtumishi huyo,kanisa la synagogue church of all nations,ni moja ya makanisa yanapokea watu wengi zaidi nchini africa,na nigeria kwa ujumla.

0 Response to "BAADA YA MWAKA MMOJA KUPITA TB JOSHUA AANDIKA HAYA."

Chapisha Maoni