ZA UKWELI SANA

DAZZ BABA WA DAZ NUNDAZ AIBUKA NA HILI.


mwanamuziki mkongwe aliyewahi kuunda kundi la muziki la DAZ NUNDAZ,lilokuwa linaundwa na akina feruz,sajo,chupa na yeye mwenyewe DAZBABA au DAZ MWALIMU amepiga stori na mhariri wetu na kudai kwamba ana ushukuru mziki kwani umempatia mafanikio makubwa sana ''unajua mafanikio sio kuwa na mali nyingi lakini mziki umenifanya nifahamike na watu wengi na kunipatia heshima'' alisema DAZZ BABA  pia amesema amenunua kiwanja na hivi karibuni anatarajia kuanza ujenzi,DAZZ BABA ametamba na nyimbo kama mrembo namba8 aliyomshirikisha fid q na ELIMU DUNIA aliompa shavu AFADE SELE  miaka ya nyuma kidogo DAZZ alihusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya hali iliyomfanya kupotea kabisa kwenye mziki.

0 Response to "DAZZ BABA WA DAZ NUNDAZ AIBUKA NA HILI."

Chapisha Maoni