ZA UKWELI SANA

KUTANA NA MSICHANA MWENYE ULEMAVU WA VIUNGO ANAYEINGIZA MAMILIONI YA PESA

enzi za utoto wake hapa akiwa na walezi wake.
Msichana huyu anaitwa Kanya Sessar ana umri wa miaka 23,alizaliwa akiwa hana miguu yote huko nchini THAILAND na alitengwa na wazazi wake muda mchache tu alipozaliwa,na hivyo kulelewa na watu baki,hadi pale alipofikisha umri wa miaka 15,alipoamua kujiingiza kwenye mamboya umodo rasmi,ambapo kwa sasa anafanya kazi ya kutangaza nguo za ndani na makampuni kama volcom,Nike,Na  Curl girl msichana huyo kwa sasa anaingiza dolla 1000 kwa siku zaidi ya shilingi millioni 200 za kitanzania kila siku.

0 Response to "KUTANA NA MSICHANA MWENYE ULEMAVU WA VIUNGO ANAYEINGIZA MAMILIONI YA PESA"

Chapisha Maoni