ZA UKWELI SANA

JOKATE NA ALLY KIBA MAMBO HADHARANI

Hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii blogz mbalimbali na magazeti kumeibuka minong'ono ya kwamba mastaa wawili wa muziki pamoja na mitindo ALLY KIBA na bibie JOKATE MWEGELO  kwamba ni wapenzi kwani wameonekana kuwa na ukaribu sana hivi karibuni,pia ilishawahi kuripotiwa na mtangazaji wa clouds fm suddy brown mzee wa makorokocho kwenye kipindi cha xxl ya kwamba KIBA alipeleka mahari nyumbani kwao akina JOJO lakini imekataliwa jambo ambalo KIBA,alilikanusha mwenyewe na kudai kuwa ni uzushi,lakini WEEKEND hii pale uwanja wa taifa JOKATE alionekana kuambatana na KIBA huku akiwa amevalia kofia iliyoandikwa king,jokate alionekana mwenye furaha muda wote baada ya timu yake anayoishabikia kuifunga simba,simba 0-yanga 2.

0 Response to "JOKATE NA ALLY KIBA MAMBO HADHARANI"

Chapisha Maoni