ZA UKWELI SANA

DAVID BECKHAM KUCHEZA MOVIE ZA JAMES BOND.




       staa wa zamani wa klabu za Real madrid,man united,LA GALAXY,na timu ya taifa ya uingereza,David Beckham anatarajiwa kuonekana katika movie,Beckham mwenye umri wa miaka 40,imeripotiwa kwa mujibu wa mtandao wa mirror.co.uk,umemtaja David Beckham kucheza katika movie ya james Bond.





           Beckham ametajwa kuchukua nafasi ya Daniel craig ambaye mkataba wake unakaribia kumalizika,Beckham ambaye ni baba wa watoto wanne,amekiri kuwa aliwahi kufikiria kucheza movie baada ya mashabiki wake kushauri hilo.


piga no 0656538476 kwa matangazo.

0 Response to " DAVID BECKHAM KUCHEZA MOVIE ZA JAMES BOND."

Chapisha Maoni