ZA UKWELI SANA

NYUMBA AU GARI KWANZA.





  washkaji zangu poleni na mihangaiko ya hapa na pale katika ujenzi wa taifa,juzi kati hapa nikiwa kitaa nilijaribu kutembelea vijiwe vya kahawa hapa mjini,nikijaribu kupata mawazo mapya,hasa ukizingatia huu ni wakati wa joto la uchaguzi.....tofauti na matarajio yangu nilitegemea katika kijiwe ninachokwenda nitakuta stori za kaki na kijani au magwanda na kijani la hashaaa;....hapa palikuwa na ubishi eti kuwa na nyumba hapa mjini au gari bora kipi,kila kundi lilijitetea kwa namna yake...mpaka ninaondoka mahala pale,sikupata majibu ya kuridhisha zaidi ya kurushiana mitusi mizito kama unavyojua tena vijiwe vyetu.

         






     USISITE KUTUTUMIA MAONI YAKO;
                       
                      KWA MATANGAZO PIGA 0656538476

0 Response to " NYUMBA AU GARI KWANZA."

Chapisha Maoni