ZA UKWELI SANA

NANI NI ROLE MODEL WAKO...


nimekuwa ni kisikia kibongo,bongo watu  wakitaja watu wao wanaowatazama na kuwafanya kama vioo vyao,wakiamini juu ya harakati zao,life styles na hustless zao,hawa hapo juu ni baadhi tu ya mastaa maarufu wa kibongo wanaofuatiliwa sana,kwa utafiti tu uliofanywa na blogu hii,je wewe unadhani ni nani role model wako

0 Response to "NANI NI ROLE MODEL WAKO..."

Chapisha Maoni