ZA UKWELI SANA

R.I.P MZEE SYKES

kwa habari zilizotufikia hivi punde,zinasema baba yake mzazi msanii Dully sykes,mzee abby sykes amefariki dunia mchana wa leo,mzee huyu alikuwa maarufu sana kutoka na mapenzi aliyokuwa nayo kwenye mziki wa bongo flava,enzi za uhai wake mzee huyu aliwahi kuonekana kwenye video ya msanii Daz baba aliyomshirikisha mr blue inayoitwa usiku huu,na wimbo wa Roma mkatoliki kidole cha mwisho juu.
mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema,na pole sana msanii dully sykes kwa msiba.

0 Response to "R.I.P MZEE SYKES"

Chapisha Maoni