ZA UKWELI SANA

IVORY COAST YAINGIA NUSU FAINALI YA AFCON

Timu ya taifa ya ivory coast imekuwa timu ya nne kufuzu,hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya afrika baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Algeria.


Ivory coast imeifunga Algeria kwa matokeo ya 3 kwa 1 katika mchezo  ambao ulimalizika ndani ya dakika 90


mabao ya ivory yalifungwa na wilfred Bony ambaye alifunga mabao mawili huku Gervinho  akifunga bao moja.


Bao pekee la Algeria lilifungwa na Hilal soudani kwenye kipimdi cha pili.

0 Response to "IVORY COAST YAINGIA NUSU FAINALI YA AFCON"

Chapisha Maoni