ZA UKWELI SANA

AMBER ROSE NDANI YA NIGERIA KWENYE PARTY YA MIAKA 10 YA DBANJ KWENYE MUZIKI.

Kokomaster,Dbanj mtu mkubwa kwenye muziki anayeiwakilisha naijeria na afrika kwenye ramani ya muziki duniani,hakkika anajivunia kwa mengi kwenye safari yake,mafanikio ya kufanya kazi na lebo kubwa ya Good music ya kanye west ni zawadi kubwa kwake kwenye hii miaka 10.
 

juzi january 31,kafanya party lagos nigeria,staa na mwanamitindo kutoka marekani ambaye alikuwa mpenzi wa rapper wiz khalifa,amber rose,unaambiwa alishuka zake lagos naija,kumpa shavu banj kwenye celebration ya miaka 10,Amber alikuwa mc kwenye event hiyo.

0 Response to "AMBER ROSE NDANI YA NIGERIA KWENYE PARTY YA MIAKA 10 YA DBANJ KWENYE MUZIKI."

Chapisha Maoni