ZA UKWELI SANA

BREAKING NEWZ FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA JELA MIAKA 3

Kwa mujibu wa habari tulizozipata hivi punde,francis cheka amehukumiwa jela miaka3,amehukumiwa leo katika mahakama ya hakimu mkazi wa morogoro,kwa kosa la kumpiga meneja wake wa bar,pamoja na hukumu ya miaka 3 cheka ametakiwa kulipa faini ya shilingi milioni moja.

0 Response to "BREAKING NEWZ FRANCIS CHEKA AHUKUMIWA JELA MIAKA 3"

Chapisha Maoni