ZA UKWELI SANA

SIMBA SC VSJKT RUVU IMEMALIZIKA.

ligi kuu Tanzania bara imeendelea jana january 31 katika viwanja mbalimbali ikiwemo uwanja wa taifa Dar,ambapo timu ya simba sports club walikuwa wakipambana na jkt ruvu kusaka point tatu muhimu za ushindi.

mpaka dakika tisini zinakamilika matokeo yalikuwa hivi,simbasc walikuwa na goli 2 wakati Ruvu jkt walishinda goli 1.

matokeo hayo ni nafuu kwa simba kupata point tatu muhimu baada ya timu hiyo kutoa sare mechi saba,kufungwa 2 na hii imekuwa ni ya tatu kwao kupata ushindi katika ligi hiyo.

0 Response to "SIMBA SC VSJKT RUVU IMEMALIZIKA."

Chapisha Maoni