ZA UKWELI SANA

EPL;CHELSEA VS MANCITY WAMEKIPIGA JANA MATOKEO HAYA HAPA.

Baada ya liverpool na manchester united kupata ushindi jana,vilabu vingine vikubwa kwenye ligi kuu ya uingereza,chelsea na mancity navyo vilikuwa vikichuana katika vita ya kugombea uongozi wa ligi hiyo.

mechi hiyo ambapo ilipigwa jijini london katika dimba la starmford bridge imemalizika muda mfupi uliopita,huku chelsea wakiweza kuendelea kustawisha uongozi wao kwenye msimamo wa ligi,matokeo ya mechi hiyo ni sare ya 1 kwa 1 ambayo imeendelea kuipa chelsea uongozi wa point 5 zaidi ya mancity wanaoshika nafasi ya pili.

chelsea walianza kufunga goli kupitia kwa loic Remmy ambaye alimalizia kazi nzuri ya EdenHarzad katika dakika ya 40 lakini muda mfupi baadae David silva akaisawazishia city baada ya kumalizia pasi ya sergio aguero,mpaka mwisho matokeo yalikuwa 1 kwa 1.

0 Response to "EPL;CHELSEA VS MANCITY WAMEKIPIGA JANA MATOKEO HAYA HAPA."

Chapisha Maoni