ZA UKWELI SANA

PICHA ZA MBWANA SAMMATHA KWENYE MAZOEZI,HISPANIA NA CLUB YA RUSSIA

Mwandishi wa  habari za michezo Tanzania shaffih Dauda ameripoti kwamba,staa wa soka kutoka Tanzania,mbwana samatta ambaye anaichezea club ya Tp Mazembe,Congo DRC,yupo nchini hispania sasa hivi akifanya majaribio ya soka la kulipwa na club ya CSKA.                                                                                                                                                                                 CSKA MOSCOW ya Russia ambayo kwa miaka kadhaa imekua ikitawala soka la nchi hiyo na kucheza katika michuano ya mabingwa wa ulaya,samatta alipewa nafasi ya kufanya majaribio siku tatu na klabu hiyo,kwenye kambi yao ya mazoezi iliyopo spain,lakini ameongezwa wiki moja ili maofisa wa jopo la ufundi la timu hiyo wapate muda wa kumuangalia vizuri.                                                                                                                                                                                     
kkatika mechi za majaribio alizoichezea CSKA,mbwana tayari amefunga magolimawili mbali ya sammata kuifungia club hiyo magoli,kwenye ukurasa wa facebook wa facebook wa club hiyo,wamesema hawana mpango wa kumsajili mchezaji huyo kwa sasa.

0 Response to "PICHA ZA MBWANA SAMMATHA KWENYE MAZOEZI,HISPANIA NA CLUB YA RUSSIA"

Chapisha Maoni