ZA UKWELI SANA

KUWA UNACHOTAKA.

Sanaa kibongo,bongo ishakuwa ajira  washkaji kama mna vipaji ,acheni kuigiza au kuimbia magetoni tokeni muonyeshe talent zenu soko la ajira kibongo bongo linabana sana,sasa kama una kipaji iweje ulale na njaa/ changamkieni fursa,kuwa unachotaka waonyeshe wadau kipi unachofanya badilisha maisha yako na familia yako sanaa inalipa.

0 Response to "KUWA UNACHOTAKA."

Chapisha Maoni