ZA UKWELI SANA

KUFUNGULIA MZIKI KWA SAUTI KUBWA KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA.

kukufungulia mziki kwa sauti kubwa kwenye nyumba za kupanga,sio poa kabisaa,tuache ubinafsi kujijali wenyewe tukumbuke kuna wenzetu hawahitaji kelele,kama wagonjwa,wafanyakazi wanaoingia shifti za usiku,kama manesi,madokta,na walinzi hawa wanahitaji muda wa kupumzika hata watoto wachanga pia.Hawa wanahitaji kupumzika huu mwaka 2015,tubadilike tuache ushamba kila mtu anaweza kumiliki ka subwoofer una mringishia nani sasa,kila mtu akisema afungilie mziki wake hatutasikilizana kabisa.

0 Response to "KUFUNGULIA MZIKI KWA SAUTI KUBWA KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA."

Chapisha Maoni