ZA UKWELI SANA

mfahamu mpenzi wa zamani wa mwanasoka mario ballotel

  • je uliwahi kumfahamu mpenzi wazamani wa mwanasoka mario balloteli,huyu ndiye mpenzi wa zamani wa mwanasoka mario ballotel,anaitwa fanny,ni mpenzi wa zamani wa ballotell,na alimvisha pete ya uchumba ya thamani sana,kabla ya kuachana pasipo yeyote kuzungumzia suala hilo  la kuachana,lakini hivi karibuni bibie fanny alifunguka  kwenye  media na kudai mario alimzuia asifanye kazi yake ya muziki na mitindo.


    fanny alisema mario alitaka yeye akae nyumbani tu,aachanena kazi ya mitindo na muziki,hivyo kumnyima yeye uhuru wa kufanya anachokipenda,na alichukizwa na baadhi ya picha alizokuwa akipiga za mitindo.

0 Response to "mfahamu mpenzi wa zamani wa mwanasoka mario ballotel"

Chapisha Maoni