ZA UKWELI SANA

BONGO FLEVA WAZIDI KUPANDA CHATI ZA KIMATAIFA.

Mziki wa kitanzania wa bongofleva umeendelea kupanda chati za kimataifa siku hadi siku,kwani hivi majuzi tu zimeripotiwa blogs za kinaijeria kupiga wimbo wa NENDA KAMWAMBIE wa mwanamuziki diamond p latnumz na kuutambulisha kama wimbo wake mpya,bila kujua ni wimbo wake uliomtoa katika game,hivyo kuurudisha tena katika chati za nchini naijeria,habari nyingine kubwa ni hii ya kuingia nyimbo tatu za bongofleva,katika chat kubwa nchini humo,inayofahamika kama sound city chart,ambapo wasanii walioingia katika chati hiyo ni diamond platnumz na nitampata wapi,navy kenzo ilove youna shaa na wimbo wake mpya.unaweza kushea hii stori facebook na twiter mtu wangu wa nguvu.

0 Response to "BONGO FLEVA WAZIDI KUPANDA CHATI ZA KIMATAIFA."

Chapisha Maoni