ZA UKWELI SANA

mpoto adondosha jiwe jipya la mwaka 2015

msanii wa miondoko ya kughani mashairi nchini,Mrisho Mpoto,ameachia wimbo wake mwingine aliomshirikisha msanii FELLY KANO,mpoto katika wimbo huo ameelezea kwa lugha ya kiushairi zaidi maisha wanayo ishi watanzania wa kipato cha chini,na namna anavyotaka wagombea wa uchaguzi katika nafasi mbalimbali za uongozi wafahamu maisha halisi wanayoishi asilimia kubwa ya wapiga kura wao,mpoto ameweka bayana hayo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha jahazi cha clouds fm.

0 Response to "mpoto adondosha jiwe jipya la mwaka 2015"

Chapisha Maoni