ZA UKWELI SANA

ANA MIAKA 9 TU AFANYA MAKUBWA JUU YA MTI HUU.

Kenya ni nchi isiyoishiwa vituko kila kukicha,mara hii wakazi wa kararia huko marakweti nchini kenya,wameshuhudia tukio la kushangaza kama si kustaajabisha ambapo mvulana mwenye umri wa miaka 9 tu,ameuamsha mti uliodondoka kwa muda wa miaka mitatu na watu kuanza kukata kuni,lakini hivi majuzi watu walioshuhudia tukio hilo walisema,walimuona kijana huyo akiwaambia wenzake waliokuwa wakicheza karibu na mti huo waondoke kwani alitaka kuuamsha mti huo.mama mzazi wa mtoto huyo amesema yeye mwenyewe anamshangaa mtoto huyo kwamiujiza aliyokuwa nayo mara kwa mara.
una haki yakushea stori hii facebook na twitter na wengine wahabarike mtu wangu wanguvu.

0 Response to "ANA MIAKA 9 TU AFANYA MAKUBWA JUU YA MTI HUU."

Chapisha Maoni